Car4Sale Nauza gari aina ya Rav4 milango mitano

Heko

Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
9
Reaction score
8
Habari,

Nauza gari aina ya Rav4 milango mitano. Ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.

Gari ipo Kimara Dar es salaam wasiliana nami kwa simu no 0713227823 au 0756844197

Karibuni sana.
 
Kuuza namba B kwa millioni saba tena gari iliyotoka mkononi kwa mbongo itakuwa ngumu sana, atleast ingekuwa imetoka kwa wahindi or else.
 
Anzia milioni 5 wateja wataanza kuja hapo na mazungumzo ili mfanye mauziano. Milioni saba mtu akiongeza milioni mbili anapata gari nzuri sana ya kutembelea hapa mjini tena ya kisasa na ni namba D.
 
Wakuu hivi nikitaka kununua gari nizingtie nini sanasana
 
Anzia milioni 5 wateja wataanza kuja hapo na mazungumzo ili mfanye mauziano. Milioni saba mtu akiongeza milioni mbili anapata gari nzuri sana ya kutembelea hapa mjini tena ya kisasa na ni namba D.
10M unanipa gari gani boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…