Upya wa gari si kuanzia na herufi D bali mwaka ambao gari imetengenezwa. Gari inaweza kuwa ina herufi C kwenye number plate ila ikawa ni ya mwaka 2013 wakati unakuta kuna ya mwaka 1998 na namba inaanza na D na zote ni gari ya aina moja, unadhani ipi bora?