Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hahaha.Iyo rangi ya wasuma subiri wanakuja kwa kasi hapa
Hizi gari za kishuwa tunanunuwa washuwa tu.Tanzania ukinunua gari tofauti na kampuni ya TOYOTA you will be at peril
Chuma ya maanaNauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018.
Registration T 127 CUA
Make: Jeep
Model: WRANGLER
Body type: Station Wagon
Colour: Green
Year: 2018
Fuel: Diesel
Price: 65,000,000/=
View attachment 2845204View attachment 2845205View attachment 2845206View attachment 2845207View attachment 2845208View attachment 2845209View attachment 2845210View attachment 2845211
Pambana mkuu usikate Tamaa, connection zikijiseti mambo madogo tu haya.Gari kali Hela sina.. Kwendea Moshi kipindi hii ya mvua yani raha sana unapita hadi migombani kama boda boda.
Kiwalani inapitaga sana hii tena mida ya jioniNishawahi iona hii gari hapa DSM maeneo fulani,
Anyway, mimi sina pesa mkuu, wish u all the best kwenye kumpata mnunuzi.
Kiwalani inapitaga sana hii tena mida ya jioni
Kuna siku niliona imepaki nikaenda kuegesha baiskeli yangu karibu na hilo gari
Naam, hii chuma kweli ya Phd Holder.Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018.
Registration T 127 CUA
Make: Jeep
Model: WRANGLER
Body type: Station Wagon
Colour: Green
Year: 2018
Fuel: Diesel
Price: 65,000,000/=
View attachment 2845204View attachment 2845205View attachment 2845206View attachment 2845207View attachment 2845208View attachment 2845209View attachment 2845210View attachment 2845211
Uko Sahihi, viwanja vyetu vyote huko Kijiwe Samli.Kiwalani inapitaga sana hii tena mida ya jioni
Kuna siku niliona imepaki nikaenda kuegesha baiskeli yangu karibu na hilo gari so ikatafsirika kuwa wote tumepaki vyombo vya usafiri
MashineNauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018.
Registration T 127 CUA
Make: Jeep
Model: WRANGLER
Body type: Station Wagon
Colour: Green
Year: 2018
Fuel: Diesel
Price: 65,000,000/=
View attachment 2845204View attachment 2845205View attachment 2845206View attachment 2845207View attachment 2845208View attachment 2845209View attachment 2845210View attachment 2845211
Yeeeeeeh...!Ndoho gogolo mami!Hiyo rangi ya wasuma subiri wanakuja kwa kasi hapa
Sanaa tuu🔥Imetulia kishenzi