Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

shantao

Senior Member
Joined
Jun 1, 2023
Posts
106
Reaction score
181
Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
 
UKIFANYA PRO KATIKA BIASHARA YAKO BASI ZINGATIA MISINGI,
WEKA PICHA YA BIDHAA
WEKA BEI ELEKEZI YA BIDHAA
NA MAELEZO MAFUPI KUHUSU BIDHAA HIYO.

KILA LA KHERI MKUU, MOLA MLEZI AFANYE WEPESI KATIKA BIASHARA YAKO.
 
Samahani ndugu zangu sikuweza kupost picha sabqbu nilipokwepo mtandao unasumbua ila sio muda nita upload tuvumiliane kidogo na samahani kwa nitakao wakwwza
 
Subaru XT mil 21 maongezi yapoo haina shida yoyote ile
 

Attachments

  • IMG-20240531-WA0027.jpg
    IMG-20240531-WA0027.jpg
    106.5 KB · Views: 10
  • IMG-20240531-WA0013.jpg
    IMG-20240531-WA0013.jpg
    157.1 KB · Views: 8
  • IMG-20240531-WA0016.jpg
    IMG-20240531-WA0016.jpg
    202 KB · Views: 11
  • IMG-20240531-WA0008.jpg
    IMG-20240531-WA0008.jpg
    183.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20240531-102711_Gallery.jpg
    Screenshot_20240531-102711_Gallery.jpg
    202.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240531-102739_Gallery.jpg
    Screenshot_20240531-102739_Gallery.jpg
    218.7 KB · Views: 10
  • IMG-20240531-WA0027.jpg
    IMG-20240531-WA0027.jpg
    106.5 KB · Views: 12
Back
Top Bottom