Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

MaduhuJ

Member
Joined
Oct 7, 2024
Posts
64
Reaction score
83
Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma. Imetumika kama mwaka 1 tu na niliiagiza mwenyewe Japan kwahiyo documents zote kutoka Japan hadi za bandari ninazo.

Features
  • Full Black (body, rims, lights & full tinted).
  • 2350 cc (Petrol) na consumption ya mafuta ni hadi 13km/L.
  • 6-speed automatic transmission.
  • Manual driving options (gear shifter & paddle shifter)
  • 4WD (Auto & Lock Diff).
  • Reverse Camera.
  • Full AC.
  • ⁠Leather OG kwenye dashboard, milangoni na kwenye seats.
  • Seat heaters kwenye siti za mbele (dereva na abiria).
  • 7 seaters (2 zipo kwenye buti).
  • Funguo zipo 2 (Remote & fungua ya kawaida).
  • Subwoofer speaker kwenye boot imekuja na gari.
  • Tairi ni mpya zote ziliwekwa Feb 2023.
  • Ina Spare tyre.

LOCATION : Gari ipo Dodoma. Mtu anaweza kuikagua muda wowote.

MAWASILIANO : 0746311251
IMG_0448.jpeg
IMG_0449.jpeg
IMG_0450.jpeg
IMG_0451.jpeg
IMG_0453.jpeg
IMG_0454.jpeg
IMG_0474.jpeg
IMG_0475.jpeg
IMG_0470.jpeg
IMG_0455.jpeg
IMG_0456.jpeg
IMG_0460.jpeg
IMG_0461.jpeg
IMG_0462.jpeg
IMG_0463.jpeg
IMG_0465.jpeg
IMG_0466.jpeg
IMG_0467.jpeg
IMG_0469.jpeg
IMG_0473.jpeg
 
Wadau, gari bado lipo. Kwa anayehitaji, mawasiliano ni 0746311251. Ruksa kukagua muda wowote.
 
Shukrani mkuu. Nina uhakika na gari langu na naamini atakayelinunua basi atakuwa amepata gari la uhakika.
Gari haina kona kona hiyo,atakaeipata atapata gari ya uhakika,binafsi gari iliyotumika TZ ikiwa imetunzwa uwa naingalia ndani iko vipi,gari imenyooka hiyo
 
Gari haina kona kona hiyo,atakaeipata atapata gari ya uhakika,binafsi gari iliyotumika TZ ikiwa imetunzwa uwa naingalia ndani iko vipi,gari imenyooka hiyo
Shukrani mkuu. Kiukweli nimejitahidi kuitunza na pia haijaendeshwa sana tangu nimeiagiza na services zote zinafanyika on time.
 
Wadau, gari bado lipo. Kwa anayehitaji, mawasiliano ni 0746311251. Ruksa kukagua muda wowote.
 
Bei ya mpya ni shingap? Naomba kujua changamoto za hiyo gari au uzuri mkuu?
 
Bei ya mpya ni shingap? Naomba kujua changamoto za hiyo gari au uzuri mkuu?
Kuhusu bei ya mpya sijui kwa sasahivi ila naamini ukiingia kwenye sites za kuuza magari utapata. Kuhusu changamoto za hii gari mimi haijawahi kunipatia changamoto yoyote na watu ninaofahamiana nao wanaomiliki gari kama hii pia hawajawahi kukutana na changamoto yoyote. Ila naamini kila gari huwa ina changamoto zake kwahiyo unaweza ukapitia threads nyingine za kuhusu Mistubishi Outlander, naamini kuna watu watakuwa wametoa changamoto zake na wewe ukapata wasaa wa kujifunza zaidi.

Kuhusu uzuri wa hii gari upo zaidi kwenye features nilizozielezea kwenye post ila kwa maelezo ya ziada ni;
1. Ina engine kubwa (CC2450) ambayo inakupa nguvu unapokuwa barabarani na acceleration yake ni smooth. Consumption yake ya mafuta ni nzuri sana. Inaenda hadi 13km kwa lita ni hii inasaidiwa na kuwa na 6-gear transmission na ina sehemu inakuonesha matumizi yako ya mafuta kila unapokanyaga accelerator na pia inakuonesha mafuta uliyobakiza yanaweza kukupeleka umbali gani. Kwahiyo inakupa good fuel management.
2. Ni nzito na inatulia barabarani hata kama upo speed kubwa.
3. Ina siti 7 kwa wale wenye uhitaji wa siti za ziada.
4. Ina subwoofer speaker kwa nyuma kwa mtu anayependelea mziki.
 
Kifuku hiki halo ngumu😛😛😛
 
Back
Top Bottom