Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Oct 22, 2010 #21 Mama Beto said: umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu? Click to expand... Irudishe iwe tatu, nikuletee 2 kesho, then 1 in two weeks. unasemaje? mi nshakuja kuiona hapo..........starter imepona?
Mama Beto said: umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu? Click to expand... Irudishe iwe tatu, nikuletee 2 kesho, then 1 in two weeks. unasemaje? mi nshakuja kuiona hapo..........starter imepona?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Oct 22, 2010 #22 Mama Beto said: umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu? Click to expand... inahitaji kazi kubwa sana kwenye body na probably overhaul ya engine..........si unajua ilikuwa inapiga pori?. rim niza zamani sana, tairi haina.........Mama Peto sema fasta tumalizane. najitosa tu!
Mama Beto said: umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu? Click to expand... inahitaji kazi kubwa sana kwenye body na probably overhaul ya engine..........si unajua ilikuwa inapiga pori?. rim niza zamani sana, tairi haina.........Mama Peto sema fasta tumalizane. najitosa tu!