Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Mar 22, 2011 #1 Gari ipo katika hali nzuri sana(see picha). Insurance yake ni compressive. Bei: inaanzia 7ML ila inapungua. Just PM me kwa maelezo zaidi.
Gari ipo katika hali nzuri sana(see picha). Insurance yake ni compressive. Bei: inaanzia 7ML ila inapungua. Just PM me kwa maelezo zaidi.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Mar 22, 2011 #2 Short chesesi kitaa jamaa mpaka 4.5M wanachukua Bora uangalie mara mbili bei hiyo.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Mar 22, 2011 #3 unapoweka tangazo la kuuza gari zingatia kutaja mwaka wa gari, engene model na picha ya ndani ya gari, some na kilometres ngapi imeshatembea? ingawa kilometres sio muhimu sana.
unapoweka tangazo la kuuza gari zingatia kutaja mwaka wa gari, engene model na picha ya ndani ya gari, some na kilometres ngapi imeshatembea? ingawa kilometres sio muhimu sana.