gari imeingizwa nchin mwaska 2004 but mtumiaj hakutumia sana akawa amepata safari ya kwenda kusoma nje so amerud tena kuanza kuitumia 2009.imekuwa ikitumika toka kipind hicho kwa mizunguko ya ndan ya dsm na pia imewah kwenda mkoa so ni gari ambayo unaweza kwenda nayo hata kigoma na kurud bila shida yoyote upande wa mechanics. na ni gar ya 1999.engine yake ni 3S kwa wale wataalamu wa magari.ni moja ya engine bora kabisa na imara.automatic gear. engine na gear box havijaguswa kabisa. so hapo ndugu ushindwe wewe. na hiyo bei si ya dalali...ni bei halali ya mmiliki wa gari hiyo ambaye ni mimi. kununua na kuuza ni mfumo wa maisha nauza so that to convert the car into money. nahitaj pesa kwa ajil ya mambo fulan binafsi.