Car4Sale Nauza gari "Toyota Voltz"

mozilla

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
770
Reaction score
1,222
Habari zenu wakuu?
Nauza gari aina ya Toyota Voltz
Rangi ya Marun
Haina tatizo lolote
Haidaiwi chochote
12milion
Note : gari ipo dsm
Contacts/whatsap 0714 521128
For pictures see the attachment below
 
Embu weka na picha kwa upande wa mbele wa gari ili tuisaminishe vizuri
 
Embu weka na picha kwa upande wa mbele wa gari ili tuisaminishe vizuri
 


PAJERO GDI INAUZWA
KM 180,000/=( haijawahi chakachuliwa)
cc 2000
mwaka 1998
petrol
automatic transmission
millioni 8.5 tu
gari ni nzima , mpya sana haina tatizo yoyote unakuja na mafundi zako unayemwamini aje kuikagua gari sababu ya kuuza gari bei sawa na bure kwasababu nimenunua gari kubwa ya pickup ahsanteni napatikana dar es salaam 0655522433 karibuni
 
1998 1999 2000 2001 2002 2003 2004 2005 2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012 2013 2014 2015 2016. Duh kweli gari bado mpya sana.
 
showroom million 14 kwa 13
Mi ninayo aina hii ya gari. Ukweli ni gari nzuri ila niliagiza mwenyewe na sidhani kama unaweza pata yenye mileage nzuri kwa bei hiyo. Mi ilifika hapa kwa 16million na ilikuwa na km 44,000. Sasa yako mileage ikoje? Je tyres zina hali gani? Show room magari siyo mazuri kama vile ungeagiza mwenyewe na ikitokea likawa zuri bei ni juu sana.
 
Dah GDI huwa naikubali sana.
 
usiangalie mileage nikihamua nashusha angalia engine ya gari hio bei yenyewe ni bei sawa na bure kaka na kuhusu kitu bado mpya , gari haina service yoyote nikuweka mafuta nakupiga safara
 
usiangalie mileage nikihamua nashusha angalia engine ya gari hio bei yenyewe ni bei sawa na bure kaka na kuhusu kitu bado mpya , gari haina service yoyote nikuweka mafuta nakupiga safara
Bei ni poa kama hakuna tatizo lolote uliloficha. Najua wakati mwingine mtu anaamua kubadili gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…