SawaNimehamishwa mkoa kikazi mimi ni mtumishi wa serikali huku natumia gari ya ofisi muda wote,ukija pembeni tunaongea fresh
So gari ya ofisi utakuwa unafika nayo bar/ msikitini/ kanisani/ kijijini kwenu??Nimehamishwa mkoa kikazi mimi ni mtumishi wa serikali huku natumia gari ya ofisi muda wote,ukija pembeni tunaongea fresh