Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

Luan

Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
13
Reaction score
9
PRICE UPDATED: 6,800,000
Model: Toyota HARRIER Lexus
Registration Number: A....
Colour:Silver
Engine: Petrol 2994cc VTI
Year 1999
Seat Capacity 5
Music redio
Full AC
Full documents (File)
Clean Seats
Trans Automatic
Imported from Japan
Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
 
Attachments

  • photo_2021-03-18_14-23-19.jpg
    photo_2021-03-18_14-23-19.jpg
    139.1 KB · Views: 16
  • photo_2021-03-18_14-23-21.jpg
    photo_2021-03-18_14-23-21.jpg
    145.3 KB · Views: 16
  • photo_2021-03-18_14-23-26.jpg
    photo_2021-03-18_14-23-26.jpg
    129.5 KB · Views: 17
  • photo_2021-03-18_14-23-29.jpg
    photo_2021-03-18_14-23-29.jpg
    142.4 KB · Views: 16
  • photo_2021-03-18_14-23-32.jpg
    photo_2021-03-18_14-23-32.jpg
    111.2 KB · Views: 14
  • photo_2021-03-18_14-23-40.jpg
    photo_2021-03-18_14-23-40.jpg
    190.7 KB · Views: 16
Mkuu,
Kwa haraka haraka kama utampata mtu hata akiwa na 6M basi mshukuru Mungu mno.

Harrier no.A
Engine 2994cc (halafu huna haja ya kuhangaika kuandika 2994cc,andika tu 3.0 au six cylinders)

Mkuu, kama atatokea mtu hata kama anayo 5M na elfu hamsini chukua hela yake na namba yake ya simu mku.

Kimsingi hiyo gari ni kichefuchefu tena cha mjamzito.
Nenda Kigoma au Ngende,kuna waganga wazuri sana watakusaidia kuiuza hiyo gari.
 
Mbona kama unaharibu biashara ya mtu purposely?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Kwa haraka haraka kama utampata mtu hata akiwa na 6M basi mshukuru Mungu mno.

Harrier no.A
Engine 2994cc (halafu huna haja ya kuhangaika kuandika 2994cc,andika tu 3.0 au six cylinders)

Mkuu, kama atatokea mtu hata kama anayo 5M na elfu hamsini chukua hela yake na namba yake ya simu mku.

Kimsingi hiyo gari ni kichefuchefu tena cha mjamzito.
Nenda Kigoma au Ngende,kuna waganga wazuri sana watakusaidia kuiuza hiyo gari.
Nimezingatia ushauri wako nimeuchukua positive zaidi,japo haitashuka 6.8 kutokana na Ubora ilio nao japo ni namba A.Pole na msiba tuendelee kuomboleza
 
So unataka watu wapigwe sio?
Hakuna mtu anapigwa acha kuharibu biashara za watu , mtu hanunui ama hailipii mpaka ameiona na kuikagua,hatuuziani kihuni na ni gari niliyokua naitumia mwenyewe , acha hii roho mbaya ya kuharibu haikupendezi.Kama kuna mambo yamekuvuruga sana pole ndugu lakini mambo mengine lazima yaendelee na nakuhakikishia nitaiuza kwa hii bei ya mwisho Mungu ni mwema.
 
Relax mkuu. Utaiuza ila ni vema mtu akajua sifa zote za anachotaka kukinunua. Sifa inaweza kuwa nzuri au mbaya.
Kila LA kheri
 
Hakuna mtu anapigwa acha kuharibu biashara za watu , mtu hanunui ama hailipii mpaka ameiona na kuikagua,hatuuziani kihuni na ni gari niliyokua naitumia mwenyewe , acha hii roho mbaya ya kuharibu haikupendezi.Kama kuna mambo yamekuvuruga sana pole ndugu lakini mambo mengine lazima yaendelee na nakuhakikishia nitaiuza kwa hii bei ya mwisho Mungu ni mwema.
Kweli,itauzika tuu hakuna kukwama.
 
Back
Top Bottom