Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

Dah umaskini mbaya Garu nzuri bei nzuri .acha niamke nikatafute pesa.[emoji125]
 
Mkuu hakuna gari inaitwa Harrier Lexus. Kuna matoleo yanayofanana kama Toyota Harrier na kuna Lexus RX. Hizi ni gari mbili tofauti, moja inatengenezwa na Toyota, na nyingine inatengenezwa na Lexus ambayo pia ni kampuni ya Toyota. Baadhi ya spare zinaingiliana, lakini kuna spare kama radiator na nyinginezo haziingiliani. Lexus RX ni luxury zaidi ya Toyota Harrier.

Ni sawa na Mercedes Benz kuna matoleo au models zao wanatengeneza pia AMG na sio Mercedes zote ni AMG.

Hiyo gari yako ni Toyota Harrier (first generation), na namna nzuri ya kuitambua ni kutumia hicho kioo kwenye boneti. Lexus RX huwa hazina kioo kwenye boneti.
 
Toyona Harrier old model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…