Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 767
- 1,038
Nyie mnao nunua magari kwa kuangalia namba ndy mnabambikiwaga mikwechenamba B mkuu use serious basi kama unayo D weka picha hapa nakuja sasa hivi niko serengeti
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Si unaona mkuu anaishi huko Serengeti kama mnyama twiga atajulia magari wapi mkuu.Nyie mnao nunua magari kwa kuangalia namba ndy mnabambikiwaga mikweche
Gari ni utunzaji
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo magari huku Dar es Salaam hayapo tenaHii ndinga ikipelekwa DSM kwa wazee wa kupimp ikanyoonshwa bodi,ikarudiwa rangi, ikasogezwa kwa wazee wa kupiga detail na kusafisha injini,ikaamia kwa wanangu wa seat covers kali ,Dicksound akamaliza mchezo wa ream na sound konk aisee [emoji119][emoji119]
Ila andaa 3 M tena hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilete huku utangaze nasi bure https://chat.whatsapp.com/FWdE25cZuWfEN0DtaBOL96Guys mwenye kuhitaji usafiri kwa bei ya chee. Gari ipo musoma mjini, unaweza kunitafuta kwa namba 0782183441
Gari nauza kwa tsh 3,500,000/= fixed, hakuna maelewano. Gari inatembea haina tatizo lolote, njoo na fundi wako akague gari. Document zote zipo fresh. Gari ni yangu mimi mwenyewe hakuna dalali.View attachment 1066452View attachment 1066453View attachment 1066454View attachment 1066458View attachment 1066459View attachment 1066460View attachment 1066461
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema ameshauza tayari.Ilete huku utangaze nasi bure https://chat.whatsapp.com/FWdE25cZuWfEN0DtaBOL96
Ushamba ni mzigo!namba B mkuu use serious basi kama unayo D weka picha hapa nakuja sasa hivi niko serengeti
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
NimeonaAnasema ameshauza tayari.
We unanunua gari ama namba, actually wenye hela washainunua, wewe huna uwezo wa kuwa na gari kaka, labda bodaboda ya laki nanenamba B mkuu use serious basi kama unayo D weka picha hapa nakuja sasa hivi niko serengeti
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk