Car4Sale Nauza Gari

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
961
Reaction score
1,380
Habari, nauza gari lipo katika hali nzuri sana na huwa safari zake ni nyumbani to kazini tu ni

Toyota Mark 11 GX 110
2003 model
1988cc
T 222 AKD
Price 7. 5 mil
Karibuni sana
Cont 0717246284
 
Hiyo bei ndugu hata kama ulikuwa hulitumii kabisa hautauza,sasa hivi magari ya kisasa yamekuwa cheap sana mtaani kutokana na ukata.
 
Ipo katika hali nzuri sana na haijatumika sana pia ilinunuliwa mpya km 0.
 
Mkuu muogope Mungu...GX110 umeinunua na KM 0??Basi ngoja niachie wengine huu mjadala..Maana tangu nijue magari sijakuona 0 KM
Teh teh teh yaani ndio anazidi kupigilia msumari kwenye Jeneza la Biashara yake ya Gari. kweli hali imekuwa tight sana mpaka mtu mzima anajidhalilisha hadharani.
 
Tuacheni longolongo acheni kununua namba eti D, C, B na ukaona A ukafikiri ndio gari ya kushinda gereji, ukweli wa magari ni utunzaji na jinsi ya kulifanya lidumu, nimenunua gari jana namba A kwa bei ghari kweli sasa basi lile gari utadhani ndio nimelitoa jana japan, gari iko vizuri mno injini poa pia fuel consupmtion iko poa mno hadi raha licha ya ukubwa wa nchini yake. Sasa mnaofikiria kununua namba D basi safari njema si wengine tunataka magari imara yanayohimili mikiki mikiki barabarani
 
Hivi kasema anauza namba?
Hapana, hauzi namba, ila kwa namba zile za AKD..ina maana ni gari imesajiliwa aidha 2005 ama 2006 mwanzoni, ten years back kwa barabara na service za Tanzania. Kwa maana hiyo thamani ya gari kaiweka juu sana, angeshuka kidogo.
 

Vipi bodi yake haijachomelewa?
Kama ilitumika sehemu za pwani?
 
Hapana, hauzi namba, ila kwa namba zile za AKD..ina maana ni gari imesajiliwa aidha 2005 ama 2006 mwanzoni, ten years back kwa barabara na service za Tanzania. Kwa maana hiyo thamani ya gari kaiweka juu sana, angeshuka kidogo.
Hawezi kuwa alinunua na kulitunza, labda kuendea msikitini au kanisani tu. Mi naamini katika kujua ubora wa engine, transmission na suspension system. Lazima kufanya physical check-up.
 
Vipi bodi yake haijachomelewa?
Kama ilitumika sehemu za pwani?
Body iko vizuri ajabu hakuna michubuko, haijarudiwa rangi, wala kubonyea popote, gari imekuwa ikipa route za dar tu, gari ni nzima mno hadi raha wajameni
 
Acheni adaaa gari GX110 hata ingekuwa bandani!imechakaa kwa hiyo bei ni bei ya Mark x GX121.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…