S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,329 Sep 2, 2016 #21 kaka namba A hiyo inakuharibia biashara. hata gari liwe zima vipi kwa sisi wabongo kununua namba A kwa bei hiyo ni ngumu sana..
kaka namba A hiyo inakuharibia biashara. hata gari liwe zima vipi kwa sisi wabongo kununua namba A kwa bei hiyo ni ngumu sana..
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,329 Sep 2, 2016 #22 Edward A chapa said: Ipo katika hali nzuri sana na haijatumika sana pia ilinunuliwa mpya km 0. Click to expand... acha uongo kaka. eti umenunua na km 0.. gari hata ununue mpya pale toyota dar au dt dobbie.. huwa haiwi na km 0
Edward A chapa said: Ipo katika hali nzuri sana na haijatumika sana pia ilinunuliwa mpya km 0. Click to expand... acha uongo kaka. eti umenunua na km 0.. gari hata ununue mpya pale toyota dar au dt dobbie.. huwa haiwi na km 0