Nauza gauni za Dubai kwa bei ya jumla ya Tsh. 5000/-

Nauza gauni za Dubai kwa bei ya jumla ya Tsh. 5000/-

The Industry

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
117
Reaction score
30
Hizi ni gauni za mtumba zipo tegeta Kibo, zilikuwa dukani ila duka limefungwa kwa sababu mhusika anahamia mkoani. Kama upo serious karibu uje uzione. Kuna gauni zaidi ya 60.

Bei hiyo ni kwanzia mzigo wa Laki 1 na kuendelea.

Kwa mawasiliano zaidi nichek
Simu. 0767168801.

Karibuni sana.
View attachment 2711863
View attachment 2711864
 
Mara nyingi picha zinadanganya kama umewahi kufanya biashara ya nguo ni vizuri ukifika eneo husika ukaziona mwenyewe
 
Hamna lonya ndugu yangu gauni zipo vizuri sana, ukija ukaona hazifai ntakuchangia nauli ya kurudi sio ishu.
 
Naona swala la picha imekuwa ishu sana, anyway siwezi kupiga picha magauni kama 80 yote nikaweka hapo. Nitajitahidi kutuma picha kadhaa, pia lengo nikutoa mzigo wote kwa pamoja sio kuuza gauni moja moja ndio maana nikasema kwa mfanyabiashara wa nguo za kike ni vizuri zaidi akija kuziona kuliko kuangalia picha moja moja tu mtandaoni huwezi kukagua nguo za mtumba kwa style hiyo.
 
Nimeipenda hiyo ya black, una nyeupe yake?
Nichukue 2
 
Kuna watu miyeyusho sana hao wanaotaka picha hakuna mnunuaji hata mmoja Kama mtu unahitaji kitu na namb imewekwa si uchukue namb yak muwasiliane
 
Back
Top Bottom