Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Aha upo vikunai, punguza bei fanya 80k leo nalichukuaWakuu mishe niaje?
Mdogo wenu Sir Midabwada Nina kigodoro changu hapa nakiuza
Godoro jipya halijWahi KULALIWA hTa mar moj.
Bei 110,000
Aina ni Mbeya foam, Lina futi 5*6 INCHI 6.
Piga : 0628731833
Napatikana kijichi, mgeninani karibu na baa maarufu ya Kingazi
Kw Daresalaam deliver 5000 tu.
View attachment 2822874View attachment 2822875View attachment 2822876View attachment 2822877View attachment 2822878View attachment 2822879
Hizo picha mkuu zna confidential content!. Mana ñingepiga lote mngeona na visivyokuwa godoro. Tumekubaliana jf Kila mtu doniPicha zimekaa kimchongo...
bei imekaa kileleni
Ah wapi!. Labda nikufanyie 100 kamili mkuu, nakula shoti ya elf 30 nzima hapo.Aha upo vikunai, punguza bei fanya 80k leo nalichukua
kwani una ID moja mkuu?Hizo picha mkuu zna confidential content!. Mana ñingepiga lote mngeona na visivyokuwa godoro. Tumekubaliana jf Kila mtu doni
Inategemea na individual plan mkuu. Ina mana mdogo wenu hata nkitaka hela ya kula au nyagi niifung7lie ID?kwani una ID moja mkuu?
wenzio toka 2011 tuko humu na ID kibao kila ID na kazi zake
Saiz ya mwisho mkuu, ambayo ni INCHI 6Unene inch ngapi? Tumezoea inch 8 hadi 12
Nitalala tu mkuu maisha popote. Nunua hiliAhsante kwa taarifa, utalalia nini...