Habarini godoro naliuza nilinunua 140k hapo mwez 5 sasa ivi naliuza 100k lina miezi miwili tu toka linunuliwe hapo nilipiga picha wakati nimelinunua nimetumia miezi 2 tu nasisitiza LC 5×6 Jaman bei haishuki chini ya 100K.
Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu zimenifanya niuze nawakaribisha.
Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu zimenifanya niuze nawakaribisha.