Nauza godoro la QFL Dodoma 100k

raees

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
43
Reaction score
46
Habarini godoro naliuza nilinunua 140k hapo mwez 5 sasa ivi naliuza 100k lina miezi miwili tu toka linunuliwe hapo nilipiga picha wakati nimelinunua nimetumia miezi 2 tu nasisitiza LC 5×6 Jaman bei haishuki chini ya 100K.

Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu zimenifanya niuze nawakaribisha.

 
Bado sijapata mteja wa godoro bado nawasubiria maboss zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…