Mtafiti Madini
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 101
- 38
Kutaja bei ni kitu muhimu
mkuu zipo za aina mbili. Moja ni 1800,000tshs na nyengine 1,400,000tshs. kuhusu aina na picha, ntaweka muda si mrefu.
Tujulishe:
Kama ni mpya au mtumba
Brand type
Ni mpya kabisa kutoka china na zimejaribiwa zinafanya kazi vizuri
Mkuu bei ni 1,800,000tshs kwa MD-5002 NA 1,400,00TSHS Kwa MD-5008 zote ni mpya na zimebaki mbili tu.Chukua fursa tendwe zetu.Kutaja bei ni kitu muhimu
Mkuu samahani kwa kutokukujibu kwa wakati.Nilikuwa porini huko ndo nimefika sehemu nzuri sasa. Zilizobakia kwa sasa,zinapima wastani wa Mita tano (05) tu kwenda chini ya ardhi.kaka je zinaenda kwa Mita au Kilomita ngap?
Mkuu tuwasiliane nimekuchek inbox natafta gold detectorMkuu samahani kwa kutokukujibu kwa wakati.Nilikuwa porini huko ndo nimefika sehemu nzuri sasa. Zilizobakia kwa sasa,zinapima wastani wa Mita tano (05) tu kwenda chini ya ardhi.