Tangu ninunue Google pixel nimejilaumu Sana nilichelewa wapi kuinunua hii simu. nimeshasahau Kuhusu iOS phones kiukweli watumiaji wa Samsung iPhone jaribuni pia ku-switch na huku kwenye Google pixel ni simu Bora.
-zina strong network hazipotezi potezi network hovyo hata uwe porini.
-BATTERY MAH ndogo lakini zinakaa Kwa muda mrefu na chaji.
-camera ndo usiseme ndio mbabe no. Moja kwasasa dunian upande wa camera.
-ni cheap Sana kuimiliki
-kingine simu yao ndogo kabisa ina 32GB storage ndani zifatazo ni 64,128,256