Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Unaweka sim card yenye kifurushi maalum kipo kwenye menu ya Halotel, baada ya hapo basi utawasha wifi kama ni ya simu, Tv nk na ku connect na hiki kifaa kwa kuingiza passwordKina tumikaje elezea
Bando zake zinapatikana katika menu ya Halotel zimeandikwa bundle za Home internetBando zake zipoje
niliuzaBado ipo