Golden Digital Lab
Member
- Feb 21, 2023
- 7
- 12
Umemwelewa lakiniZa ssd unazo?
Hapana SSD sina niko na harddisks tu......( za laptop & desktop)Za ssd unazo?
na sidhani Kama zipo desktop zinazotumia ssd
Custom built desktop hasa za gaming watu wanatumia ssd zipo za sata na pia m.2, nvme ssd na mfano nzuri ni motherboard ya gigabyte GA 97X na motherboard nyingi kama z490 GTA evo zinakuja na cable za drive za sata na kuna sehemu ya ku-attachUmemwelewa lakini
Amesema anauza hard disk drive(hhd) tu,so maanake solid state drive(ssd) kiufupi atakuwa Hana na sidhani Kama zipo desktop zinazotumia ssd
Unataka ssd GB ngapi? Siku hizi zimeshuka sana bei, 1TB unapata chini ya $50 ukitafuta.Custom built desktop hasa za gaming watu wanatumia ssd zipo za sata na pia m.2, nvme ssd na mfano nzuri ni motherboard ya gigabyte GA 97X na motherboard nyingi kama z490 GTA evo zinakuja na cable za hard drive za sata na kuna sehemu ya ku-attach
View attachment 2557747
Hizi za 1TB ni za brand ganiUnataka ssd GB ngapi? Siku hizi zimeshuka sana bei, 1TB unapata chini ya $50 ukitafuta.
Kuna mdau hapa alikua anauza.
Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel
kaka nimefanikiwa kuchukua ile hp monitor e273q ni kweli ni qhd ila ipo model hyo hyo ambayo inaishiwa na m ni full hd pekee sasa shida ile laptop yangu (imekufa kioo) ukiiwasha inaaunguruma tu kwa sauti ukubwa na haiendelei chochote na inapata moto sanaa upande wa feni model yke ni e655...www.jamiiforums.com
Brand kubwa mkuu, intel, crucial, Western digital etc, sema nyingi hazina dram ila zipo zenye nazo piaHizi za 1TB ni za brand gani
https://www.amazon.com/dp/B08X4YHJ7L?tag=slickdeals09-20&ascsubtag=64a5f31ac66911ed959a5a783dfab57c0INT&ref=myi_title_dp
Kumbe duhZIPO
Aisee sikuwahi kujua hataCustom built desktop hasa za gaming watu wanatumia ssd zipo za sata na pia m.2, nvme ssd na mfano nzuri ni motherboard ya gigabyte GA 97X na motherboard nyingi kama z490 GTA evo zinakuja na cable za hard drive za sata na kuna sehemu ya ku-attach
View attachment 2557747