L Len082 New Member Joined Oct 1, 2020 Posts 2 Reaction score 0 Nov 30, 2021 #1 nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Dec 1, 2021 #2 Mwenye nacho kafariki nini. Si vya viziwi hivi
M Mwalimu wa Zamu Tz JF-Expert Member Joined Jan 2, 2021 Posts 1,053 Reaction score 2,757 Dec 1, 2021 #3 Kwanini uuze?? Izi sio earphone kwamba kila mtu anaweza tumia..Lazima upimwe vipimo vya maskio kama audiogram n.k na docta wako ajiridhishe kwamba unatakiwa utumie h.aid za aina gani sasa wewe mkuu unaziuza kama nyanya tu kulikoni??
Kwanini uuze?? Izi sio earphone kwamba kila mtu anaweza tumia..Lazima upimwe vipimo vya maskio kama audiogram n.k na docta wako ajiridhishe kwamba unatakiwa utumie h.aid za aina gani sasa wewe mkuu unaziuza kama nyanya tu kulikoni??
Armani William JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 248 Reaction score 744 Dec 2, 2021 #4 Mwamba amebanwa kifedha, akili ishavurugika anaweza kukuuzia hata walking stick yawasio ona.