handsomezombie12
Member
- Jun 10, 2022
- 73
- 121
Kwani kilo moja ya screpa ni shilingi ngapi?Bora useme unauza gari ambayo imenok injini. Ila kusema unauza screpa kwa milioni 3.3! Hii ni pesa nyingi sana kwa kitu kinachoitwa screpa.
We mwache tu. Kuna jamaa ameulizia hapo juu kama anamruhusu aende na mizani ya kupimia. 😃Kwani kilo moja ya screpa ni shilingi ngapi?
NIMESHAUZA MKUUWe mwache tu. Kuna jamaa ameulizia hapo juu kama anamruhusu aende na mizani ya kupimia. 😃
Hongera sana mkurugenzi.NIMESHAUZA MKUU