Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

Kama tangazo linavyosema nauza Infinix smart 6 4g sealed kwenye box kwa sh 220,000/= Dar unaletewa karibuni
0713520180

 
Asante mkuu kwa uzi mzuri,naomba kufahamu hizo sound bar za JBL studio bar na sinema sb 110 musi can wake upoje kwenye sebule? na vipi ukilinganisha na sound bar za Sony, hisense na samsung za bajeti hiyo hiyo.
 
Naweza pata steering wheel za kuchezea games kama Euro truck?
 
Ofisi zipo wapi mkuu,nahitaji,laptop,dell,HP,Lenovo,
Iwe na speed 2.5GHZ,
Ram 4,HDD 1TB,itakuwa pesa ngapi
 
Dell XPS 15 9560 UHD 4K Touchscreen Intel Core i5-7300HQ 8GB RAM 256GB SSD Nvidia GTX 1050 4GB GDDR5 Windows 10
Hii mnayo laptop?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…