D dalushi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 288 Reaction score 38 Aug 21, 2014 #1 Wadau nina tv aina ya LG inch 24,hometheatre ya LG spika 4 mbili kubwa na mbili ndogo na king'amzi cha startimes......mwenye uhitaji ani PM,nipo dar es salaam
Wadau nina tv aina ya LG inch 24,hometheatre ya LG spika 4 mbili kubwa na mbili ndogo na king'amzi cha startimes......mwenye uhitaji ani PM,nipo dar es salaam
N ngalyas_t Senior Member Joined Dec 5, 2012 Posts 175 Reaction score 58 Aug 21, 2014 #2 Bei yahitajika jomba.
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Aug 21, 2014 #3 Hiyo home theatre unauzaje bei ya mwisho? Pia nipe bei ya king'amuzi tufanye biashara fasta
ONTARIO JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 1,792 Reaction score 17,191 Aug 21, 2014 #4 Weka bei boss, tuchanike fasta...
D dalushi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 288 Reaction score 38 Aug 21, 2014 Thread starter #5 Mnyamwezi wa Urambo said: Hiyo home theatre unauzaje bei ya mwisho? Pia nipe bei ya king'amuzi tufanye biashara fasta Click to expand... Home theatre 400000,king'amzi 80000 na tv 250000
Mnyamwezi wa Urambo said: Hiyo home theatre unauzaje bei ya mwisho? Pia nipe bei ya king'amuzi tufanye biashara fasta Click to expand... Home theatre 400000,king'amzi 80000 na tv 250000
D dalushi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 288 Reaction score 38 Aug 21, 2014 Thread starter #6 ONTARIO said: Weka bei boss, tuchanike fasta... Click to expand... Home theatre 400000,tv 250000 na king'amzi 80000 nitafute kwa 0788202609
ONTARIO said: Weka bei boss, tuchanike fasta... Click to expand... Home theatre 400000,tv 250000 na king'amzi 80000 nitafute kwa 0788202609
D dalushi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 288 Reaction score 38 Aug 21, 2014 Thread starter #7 ngalyas_t said: Bei yahitajika jomba. Click to expand... Home theatre 400000,tv 250000 na king'amzi 80000 bei zinapungua nitafute 0788202609
ngalyas_t said: Bei yahitajika jomba. Click to expand... Home theatre 400000,tv 250000 na king'amzi 80000 bei zinapungua nitafute 0788202609
D dalushi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 288 Reaction score 38 Aug 21, 2014 Thread starter #9 sukwa said: punguzo kwa kila moja Click to expand... Nitafute kwa 0788202609 tutaelewana
N ngalyas_t Senior Member Joined Dec 5, 2012 Posts 175 Reaction score 58 Aug 21, 2014 #10 Jomba sorry hiyo tv ni lcd, led au crt. Nataka jua nami nirushe ndoano.
D dalushi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 288 Reaction score 38 Aug 21, 2014 Thread starter #11 ngalyas_t said: Jomba sorry hiyo tv ni lcd, led au crt. Nataka jua nami nirushe ndoano. Click to expand... LED ni full HD mkuu tuwasiliane kwa namba nilizoweka hapo
ngalyas_t said: Jomba sorry hiyo tv ni lcd, led au crt. Nataka jua nami nirushe ndoano. Click to expand... LED ni full HD mkuu tuwasiliane kwa namba nilizoweka hapo