Car4Sale Nauza Honda FIT

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,328
Reaction score
11,192
Nauza gari aina ya Honda FIT
Mwaka ilipoundwa: 2007
Ukubwa wa injini: CC 1330

Rangi: Dark Blue
Imetembea: km 123,000
Imelipiwa kila kitu na haijawahi kupata ajali
Bei ni 7.8 milioni, maongezi yapo.

Haina shida yoyote ya kiufundi, unaweza kuja na fundi wako.
Gari iko Masaki Dar, kwa anayehitaji kuiona.

Mawasiliano 0763 966782
Picha za gari zimeambatanishwa
Sababu ya kuuza: Naongezea pesa ninunue gari kubwa kidogo.
 

Attachments

  • 20160816_173436.jpg
    200.7 KB · Views: 205
  • 20160816_173458.jpg
    148.9 KB · Views: 199
  • 20160816_173517.jpg
    124.7 KB · Views: 193
  • 20160816_173538.jpg
    213.4 KB · Views: 189
Gari bado ipo
 
Honda fit gari nzuri na ngumu sana!! Ninayo tangu 2010 haijawahi nisumbua hata kidogo zaidi ya service tu.
 
Mm niko serious 5 vipi utachukua nichek 0752010303
 
Hivi spear zake zipo hapa dar
Za kumwaga tu. Maduka ya vipuri vya honda yapo hii barabara ya Uhuru, ukitoka Ilala Boma kama unaenda Buguruni, mkono wa kushoto. Mengine yako jirani na machinga complex
 
Hii gari mbona mmenitamanisha, sijui niahirishe kuchukua ki Toyota Allex
 
Hii gari mbona mmenitamanisha, sijui niahirishe kuchukua ki Toyota Allex

We jamaa umenifurahisha sana.
Kuna siku nimeona umeweka picha za Allex yako unaiuza. Ama nimechanganya. Bado unayo?
 
Za kumwaga tu. Maduka ya vipuri vya honda yapo hii barabara ya Uhuru, ukitoka Ilala Boma kama unaenda Buguruni, mkono wa kushoto. Mengine yako jirani na machinga complex

Eti nasikia spare zake bei mkasi sana. Mfano taa ya mbele moja au kitasa ni 400,000. Ndio maana wanaozimiliki ni wale wenye pesa nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…