Nauza Huawei Y300 bei TSH 130000

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
USED 6month nicheki kupitia namba 0654070066
 
nikinunua ya tigo mpya nakula gb,airtime na sm za kutosha kwa bei sawa na yako chukua 50 chap!
 
iko full box?
(all accessories available)
 
Samsung Galaxy Y Duos S6102 kwa laki moja tu nicheki 0719210905
 
Jamani na mimi ninayo madirisha ya mninga complete yenye vioo na wavu yako matano, pia nina grill ya milango miwili na grill za fence nimezitoa kukarabati mjengo...mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane kwa 0754 211 726 au 0713 211 726 ....Pia ninayo CANON copier pamoja na binding machine nauza...bei masikilizano
 

Uko mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…