biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Tatizo umeweka picha ya google weka picha halisi ili mtu kama anakucheck kusiwe na usumbufu tena mala nitumie picha mala nini.Simu ina muda wa miezi miwili tu toka inunuliwe. Ina hali nzuri sana MashaAllah
1. Ram 3GB
2. Internal Memory 32GB
3. Battery capacity 4000Amh inakaa hadi siku 3 km haupo busy sana na matumizi ya internet
4. Line inatumia 2
5. OS ni Android 8.1
6. Network 4G/LTE
7. Rangi Nyeusi
8. Inapatikana Kigamboni, Dar es Salaam
9. Bei 330,000Tzs ( Mazungumzo yapo)
10. Mawasiliano 0755411455 (call|sms|whatsapp) View attachment 1174635View attachment 1174636
Soon naweka maana ilikuwa inagoma ss kujaribisha hii ikakubaliTatizo umeweka picha ya google weka picha halisi ili mtu kama anakucheck kusiwe na usumbufu tena mala nitumie picha mala nini.
Ahsante kwa ofa yako.Kama 150 inalipa nicheki inbox nimchukulie kijana wangu wa shamba