INAUZWA Nauza incubator yangu mayai 1056. Bei ya offer.

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
2,824
Reaction score
2,264
Habari?
Nauza incubator yangu ya mayai 1056. Ni mpya ipo kwenye box haijawahi kutumika tangu iliponunuliwa. Ni full automatic kuanzia kugeuza mayai, kutawala joto na unyevunyevu na kuongeza maji. Ndani kuna kipimo cha kupimia ubora wa mayai.
Bei 1.9 milioni.

Picha ya mfano.
 
Mkuu naweza kuiona? Iko wapi I mean mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…