InunueOh mimi nataka kununua pro max napenda simu kubwa etiππ
Mimi natoka android nataka nijaribu huko pia π nikishindwa narudi zanguπInunue
Mimi ilinishinda kwa kweli ππ
Ya 14 sijawahi ishika.
Ila 12/13 ni nzito na pana mno.
Ni nzito? Kubwa? Hamnipati [emoji23][emoji23]
Labda pawepo na size ndogo, nyepesi like 13 plain, 11 plain, 8 plain., 12 min & 12 pro
Haha karibu sanaβ¦ ni pazuriMimi natoka android nataka nijaribu huko pia π nikishindwa narudi zanguπ
Ahsante nimeshaweka kibubuπHaha karibu sanaβ¦ ni pazuri