Sharifu kaimukirwa
Member
- Sep 18, 2018
- 17
- 5
Hiyo simu ina kikaratasi cha warrant hapo chini, kwani hiyo simu ni refurbished, yaani ni kama vile iliwahitumika na ikasumbua na kupelekwa kutengenezwa.
ikifika J3 hujauza nicheki, kwasasa ni ngumu kuwasiliana kwa simu
Kuna jamaa hapo kapanda dau afu ndukii, kuja uchukue hiyo 370k hata sasa..... nipo jirani yako hapa .