Car4Sale Nauza Ist yangu-low millage

Msaada jinsi ya kufuta thread niliyoanzisha
 
Tupe elim ya jins ya kutambua Shark
Jamani si unaona tu kwenye tairi hapo,
Ukiangalia hii tairi ya kwanza unaona kabisa ukichungulia kwenye matundu unaona Rim ingine ya zamani iko kwa ndani. Ina maana ikiyoko nje ni kofia (wheel cap) tu na sio rim



Lakini ukiangalia tairi hii hapa chini unaona kabisa ukiangalia kwenye matundu unaona mpaka kule ndani kwenye Break Lining, ina maana hii ni alloy/sport rim, sio rimu ya zamani iliyovaa kofia ikafananishwa na sport/alloy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…