Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Toka nimeinunua now ni almost mwaka au miez kadhaa ,ilikua nayo na hata boks lake lipo tu mkuuIna warranty?
Uko wapiHabari za asubuhi wadau, Naiman mko salama kabisa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,nimeamua kuuza hii kwa sababu ya ukata tu ila radio nzima. Hizi ni picha za hip radio husika. Bei ni 340k
Napatikana Lindi na Dar kwa sasa niko lindiUko wapi
Dukani shingapiHabari za asubuhi wadau, Naiman mko salama kabisa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,nimeamua kuuza hii kwa sababu ya ukata tu ila radio nzima. Hizi ni picha za hip radio husika. Bei ni 340k
Sina duka kaulizie dukani ,Dukani shingapi