Nauza Jenereta kama unavyoiona kwenye picha hapo na specification zake, unaweza kutumia nyumbani, dukani, salon , au ofisini n.k ipo vizuri kabisa haina shida yoyote ni kama mpya tu.
Ipo KIJICHI CCM, DAR, serious buyer nipigie simu 0762689222.
BEI 280,000 piga simu kwa maelewano 0762689222.