mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Wakuu [emoji3577] Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa.
Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price.
Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa 160000 tuu fixed price.
Vyote viko katika condition nzuri kabisa
Karibuni
0739073206
View attachment 1711192View attachment 1711193
Nko dsm kinondoniMkuu Uko mkoa gani?
Karibu bossBasi tu ila hiyo dispenser
Nataka ile yenye kifriji kdgoKaribu boss
Kinondoni siyo Dsm mkuu. Dsm ni IlalaNko dsm kinondoni
Hahahahaha mkuu Kauli ya JPM ina utata ileKinondoni siyo Dsm mkuu. Dsm ni Ilala
Sema upo manispaa ya Kinondoni[emoji3]