GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,218 Reaction score 1,988 Aug 23, 2014 #1 Jiko aina ya GEEPRS plate mbili lime zungukwa na kioo kigumu sehemu inayo bakia baada ya hizo plate nauza laki moja tuuh atakeye hitaji tuwasiliane 0653491308 whatapp kwa picha zaidi Attachments 1408818330974.jpg 25.9 KB · Views: 327
Jiko aina ya GEEPRS plate mbili lime zungukwa na kioo kigumu sehemu inayo bakia baada ya hizo plate nauza laki moja tuuh atakeye hitaji tuwasiliane 0653491308 whatapp kwa picha zaidi
vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 919 Reaction score 599 Aug 23, 2014 #2 Unauza pamoja na mtungi wake au jiko peke yake?
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Aug 23, 2014 #3 unauza sh ngapi uko wapi
GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,218 Reaction score 1,988 Aug 24, 2014 Thread starter #4 Jiko tuuh wewe
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Aug 24, 2014 #5 Wewe utapikia nini?
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Aug 24, 2014 #6 jiko dukani mbona unapata kwa 60-80 elfu tu
GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,218 Reaction score 1,988 Aug 24, 2014 Thread starter #7 Angalia type mbona yapo adi ya laki 2na kuendelea
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,628 Aug 24, 2014 #8 Mi nina 46,800, kama uko poa tuchekiane! By the way, kwa nini umauza? Receipt ya manunuzi unayo? Isije ikawa vifaa vya wizi.
Mi nina 46,800, kama uko poa tuchekiane! By the way, kwa nini umauza? Receipt ya manunuzi unayo? Isije ikawa vifaa vya wizi.
GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,218 Reaction score 1,988 Aug 24, 2014 Thread starter #9 Ipo lakini sio kwa iyo pesa