Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 708
- 1,188
Karibu bossLiko bien sana!
Nipo Dar BossHujasema upo mkoa gani
Ngoja wajeNipo Dar Boss
Wala sio la mda mrefu ni vile picha hazijapigwa vzr na mpigaji, ni kwamba muda mwingi lilikuwa ndani mana aliyelitengeneza hakulitumia sn akaliweka ndani hivyo kaamua kuliuza, wewe angalia vzr utagundua halijatumika sn licha ya picha kuwa hazipigwa vzr.Limekula sana umri