Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana.
Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana.
Vitu vyote vipo Dar es Salaam, eneo la Makumbusho. Napatikana kwa simu no. 0756609333.
Pia nauza friji ndogo (kama inavyoonekana pichani). Bei ni sh. 195,000/. Friji limetumika lakini linafanya kazi vizuri sana.