hemed rasuli Member Joined Apr 5, 2020 Posts 17 Reaction score 25 Jun 21, 2021 #1 Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu Ni imara na zinapendezesha nyumba Yapo ya rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja Milango 2 tsh 55,000 Milango 3 tsh 70,000 Milango 4 tsh 85,000 Mawasiliano; KUPIGA SIMU NA MESEJI 0766617283 WHATSAPP 0766617283
Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu Ni imara na zinapendezesha nyumba Yapo ya rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi kwa gharama za mteja Milango 2 tsh 55,000 Milango 3 tsh 70,000 Milango 4 tsh 85,000 Mawasiliano; KUPIGA SIMU NA MESEJI 0766617283 WHATSAPP 0766617283
M markbusega JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 826 Reaction score 848 Jun 21, 2021 #2 nilinunua nikashindwa kuunganisha
hemed rasuli Member Joined Apr 5, 2020 Posts 17 Reaction score 25 Jun 21, 2021 Thread starter #3 unaish wap boss
hemed rasuli Member Joined Apr 5, 2020 Posts 17 Reaction score 25 Jun 21, 2021 Thread starter #4 markbusega said: nilinunua nikashindwa kuunganisha Click to expand... unaish wap boss? halaf manual yake uliiona na kila kitu kilichoandikwa kwenye manual kilikuepo?
markbusega said: nilinunua nikashindwa kuunganisha Click to expand... unaish wap boss? halaf manual yake uliiona na kila kitu kilichoandikwa kwenye manual kilikuepo?
M markbusega JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 826 Reaction score 848 Jun 21, 2021 #5 aliyeniuzia Wala hakunieleza nilijaribu kujifunza kwenye mtandao nilivyounganisha halikukaa Sawa kama linavyoonekana kwenye picha
aliyeniuzia Wala hakunieleza nilijaribu kujifunza kwenye mtandao nilivyounganisha halikukaa Sawa kama linavyoonekana kwenye picha
hemed rasuli Member Joined Apr 5, 2020 Posts 17 Reaction score 25 Jun 21, 2021 Thread starter #6 markbusega said: aliyeniuzia Wala hakunieleza nilijaribu kujifunza kwenye mtandao nilivyounganisha halikukaa Sawa kama linavyoonekana kwenye picha Click to expand... pole sana nlitamani ningekusaidia katika hilo
markbusega said: aliyeniuzia Wala hakunieleza nilijaribu kujifunza kwenye mtandao nilivyounganisha halikukaa Sawa kama linavyoonekana kwenye picha Click to expand... pole sana nlitamani ningekusaidia katika hilo
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Oct 12, 2021 #7 markbusega said: aliyeniuzia Wala hakunieleza nilijaribu kujifunza kwenye mtandao nilivyounganisha halikukaa Sawa kama linavyoonekana kwenye picha Click to expand... Kwahiyo hulitumii? Niuzie mimi kwa bei pungufu.
markbusega said: aliyeniuzia Wala hakunieleza nilijaribu kujifunza kwenye mtandao nilivyounganisha halikukaa Sawa kama linavyoonekana kwenye picha Click to expand... Kwahiyo hulitumii? Niuzie mimi kwa bei pungufu.