INAUZWA Nauza Kamera zangu mbili

INAUZWA Nauza Kamera zangu mbili

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
6,101
Reaction score
11,381
Nina Kamera mbili nilinunua nikiwa naanza kujifunza maswala ya picha, kwa sasa sizitumii, bado ziko kwenye hali nzuri sana, nauza kwa bei ya kutupa.

Sony nex-6
Iko na chaji yake na kit lens

Canon 1200d
Iko na chaji na kit lens

Kila moja nataka laki nne.

Karibuni

IMG_20210305_070840_398.jpg
 
Tukodishe kwasiku tukuletee 10,000 kwa zote mbili.
 
Zote mbili laki 4 ipo hata kesho asubuhi.... kama inakufaa karibu...
 
Hapo nikiongeza lak1 si nmenunua mpya mkuu..punguza hyo bei
 
Mkuu biashara ni soko huru, biashara yangu bei ndio hio, ukipendezwa karibu tufanye biashara
Biashara ni soko huria ndio..but pia inabidi usikilize wateja wako wanasemaje au soko linataka nini.
 
Back
Top Bottom