Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Nauza mkuu, niko kwenye tasnia ya picha piaTukodishe kwasiku tukuletee 10,000 kwa zote mbili.
AiseTukodishe kwasiku tukuletee 10,000 kwa zote mbili.
Uko wapi nikukodishe mkuuTukodishe kwasiku tukuletee 10,000 kwa zote mbili.
Nauza laki nne kwa kila moja, zote mbili laki nane, fixed price.Zote mbili laki 4 ipo hata kesho asubuhi.... kama inakufaa karibu...
Biashara gani ambayo haina discount mkuu?Nauza laki nne kwa kila moja, zote mbili laki nane, fixed price.
Mimi biashara zangu zote huwa ni fixed price. Kuna watu hata ukimtangazia product ya 1M ukamtaka alete laki 3 bado atakwambia ana laki 2.Biashara gani ambayo haina discount mkuu?
Mkuu biashara ni soko huru, biashara yangu bei ndio hio, ukipendezwa karibu tufanye biasharaBiashara gani ambayo haina discount mkuu?
Chukua tu mpya mkuu, AsanteHapo nikiongeza lak1 si nmenunua mpya mkuu..punguza hyo bei
Biashara ni soko huria ndio..but pia inabidi usikilize wateja wako wanasemaje au soko linataka nini.Mkuu biashara ni soko huru, biashara yangu bei ndio hio, ukipendezwa karibu tufanye biashara
Dah!nauza toka na thaman ya bidhaa mkuu, nikisikiliza wateja nitaumia mimiBiashara ni soko huria ndio..but pia inabidi usikilize wateja wako wanasemaje au soko linataka nini.
OkayAhsante kwa taarifa...