Inabidi tuone balance sheet ya hiyo kampuni.
Ni dhahiri haelewi nini about Balance sheet, He has a good idea.......Selling a company with only TIN Number, Wakurugenzi wawili and the compay Being Limited By Share............Lets Hear from the seller, Convince Us please
Ina Asets zina thamani gani? Imewahi kushinda tender zipi and wapi? what does your company Worthy?, Office Locations? Ime operate kwa muda gani?, Kodi imelipwa kwa muda gani?
Hello,
Kama nilivyosema ni kampuni mpya kabisa, haijafanya returns zozote maana haijatimiza mwaka. Ingefaa kwa mtu ambaye hataki kupata hassles za kusajili kampuni. Kampuni haina assets zozote na wala haijawahi kufanya biashara kuweza kutengeneza huo hizo mizania mnazosema.
Nashukuru sana kwa michango yenu ingawa hajanisaidia kwenye shida niliyosema, maaana pamoja na mapungufu ya maelezo yangu lakini nina imani wote nyinyi mlielewa ''mstari wa chini'' ni kuwa nauza kampuni.
Kwa hiyo lengo ni kwa ajili ya mtu anayefikiria kuanzisha kampuni sasa hataki huo mlolongo wa urasimu.
Kwa kweli anahitaji msaada huyu bwana! Hivi anaelewa nini maana ya Limited by Share? Pia anasema 2 Directors lakini anayeuza ni yeye peke yake kwanini asiseme tunauza kampuni?
Bila vielelezo imekula kwako na ki-kampuni chako uchwara!
Kwa sasa directors ni yeye na mkewake (baba mama management style), ndo maana anauza yeye peke yake, ni maoni tu.