INAUZWA Nauza kampuni ya clearing & forwarding

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
Nauza kampuni ya clearing and forwarding yenye leseni mpya haidiwi chochote kwa yeyote aliye interested ani PM au nicheki kwa namba 0622-027490

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu biashara huwa haitangazwi hivyo bhana .

Hebu weka na bei ya hiyo kampuni tujue maana tukija PM ni mambo ya ku negotiate mambo mengine tu.

Nina ndugu yangu alifanya mtihani mwaka huu ila alifeli na yupo tayari kununua kampuni so ukiweka tangazo vizuri ninaweza kwenda kumshawishi ili aweze kuinunua.

Japo sasa hivi biashara imekuwa ngumu ila hakuna jinsi.
 
Nauza kampuni ya clearing and forwarding yenye leseni mpya haidiwi chochote kwa yeyote aliye interested ani PM au nicheki kwa namba 0622-027490

Post sent using JamiiForums mobile app

Meli zimeanza kuja port Dar? au ni ile ile moja inayolipa kodi? ndio inakuja?
 
Bei tafadhali

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Meli zimeanza kuja port Dar? au ni ile ile moja inayolipa kodi? ndio inakuja?

Mkuu siku hizi kazi za bandarini hazilipi tunapeleka vijana kwenye border zote za nchi na airport ndio kuna kazi zenye masilahi na ni nyingi kiasi tofauti na port ya salaama.
 
Yale yale kwa kinyozi au dukani, hawabandiki bei mpaka wakuangalie juu mpaka chini, utapeli kabisa
 
Mkuu ungevumiliagavumiliaga tu awamu hii nayo itapitaga tu kama zilivopitaga awamu nyingine na zitakua awamu nyingine na hii tutaisahau.
 
Nauza kampuni ya clearing and forwarding yenye leseni mpya haidiwi chochote kwa yeyote aliye interested ani PM au nicheki kwa namba 0622-027490

Post sent using JamiiForums mobile app
If I am not registered by TRA as clearing agent dont see I can do nothing with your company??
 
Mkuu bei ni 85 mill tunazungumza nashukuru kwa maelekezo

Sent from my HTC_D526h using JamiiForums mobile app
 
Clearing and forwarding siku hizi ni kimeo sana baada ya mirija ya bandarini kukatwa. Ushauri ni kwa mwenye kampuni kuwa mpole, huu mwaka karibia unaisha. Bado 8 jamaa aende zake na dili ziendelee. La sivyo ukubali kuuza kwa bei ya hasara sana maana hiyo kitu sio dili siku hizi.
 
Clearing and forwarding siku hizi ni kimeo sana baada ya mirija ya bandarini kukatwa. Ushauri ni kwa mwenye kampuni kuwa mpole, huu mwaka karibia unaisha. Bado 8 jamaa aende zake na dili ziendelee. La sivyo ukubali kuuza kwa bei ya hasara sana maana hiyo kitu sio dili siku hizi.
 
Nauza kampuni ya clearing and forwarding yenye leseni mpya haidiwi chochote kwa yeyote aliye interested ani PM au nicheki kwa namba 0622-027490

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu Kuna jamaa yangu anahitaji hii Kitu fasta nicheki tuyajenge +255 714 434 190
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…