Nauza kichwa cha radio ya CD bila spika.

WJN

Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
54
Reaction score
0
Sifa zake: >inacheza CD,MP3, na DVD. >waweza itumia hususa ktk eneo la biashara kutoa burudani kwa wateja mfano kwa vinyozi nk, au kwa matumizi binafsi >ina compact moja ya CD. >ipo ktk umbo la kuvutia. bei maelewano, Kwa mawasiliano no. 0713493023.
 
Weka picha, alafu risiti yake ya kununulia ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…