Nauza kifaa cha kutengenezea mishumaa ya kanisani

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Habari nauza vifa vya kutngeezea mishumaa ya kanisani. Mishumaa 18 kwa saa. Kila dk 20 mishumaa 6 bei sh 120,000 nipo Dar 0758308193. Unaweza uza hata kwa watu kutumia nyumbani


 
Pia mishumaa mikubwa minene inayotumika kanisani mfano kanisa katoliki na mengine pia nauza. ina upana diameter 7cm na urefu futi 1 kwa sh 12000. Lakini size yeyote unayotaka nakutengenezea. ukishanipa kipimo utakachoo nakupigia hesabu unapata. 0758308193
 
KUELEKEA PASAKA: PUNGUZO LA BEI.

KIFAA CHA PLASTIC CHA KUTENGENEZA MISHUMAA YA KANISANI



Bei sh 60,000

Bei hii inahushisha na mafunzo namna ya kukitumia na kutengeneza MISHUMAA. Kinakupa MISHUMAA 1 Kila baada ya dakika 10. Kwa jinsia hiyo utapata MISHUMAA ya KANISANI 6 kwa saa.

Utaandaliwa KIFAA hiki kulingana na size ya MISHUMAA unayotaka kwa bei hiyo hiyo kwani MISHUMAA huwa na size tofauti kulingana na dhehebu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…