Nauza kin'amzi cha azam na dstv Mwanza

Nauza kin'amzi cha azam na dstv Mwanza

Hii pia kama mtu anahitaj tv showcase

IMG_20210821_190901.jpg
 
Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu.
Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
Cha azam pekeyake sh ngapi...





Alf nipe na bei ya hilo ua hapo juu ya hiuo tv showcase
 
Ungekuwa unauza kimoja kimoja ninhechukua Cha DSTV aise.AZAM ninacho
 
Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu.
Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
Mkuu, hiyo bei yako mbona ni bei ya kuzinunua mpya kutoka dukani, azam wanauza 160,000 dstv nao wanauza elf 90 ila saa wana ofa ya elf 60 au 70 kama sijakosea!!!!
 
Back
Top Bottom