Nauza king'amuzi cha Azam cha antenna kwa 70,000/=

Nauza king'amuzi cha Azam cha antenna kwa 70,000/=

Nauza king'amuzi cha Azam cha antenna kwa bei ya Tsh.70,000/=

Nipo Gongo la Mboto.

Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa number hii 0622953946
Una bei sana,wakati kipya brand new ndani ya box ni sh 85,000 kikiwa na ofa ya kifurushi cha mwezi

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Back
Top Bottom