Simu tajwa hapo juu ina miezi mitatu tu imeingia maji, warranty haifanyi kazi kww case za mishandling gharama za matengenezo naona ni bora ninunuwe simu nyingine, sasa nimeona ni heri nipate nusu hasara kuna vitu ni vizima kabisa humu kwenye hiyo simu.